Analyse @jenniewtw's tweets
@jenniewtw
| 3,289 followers
Vyombo ya ulinzi na usalama vinapaswa kuwa upande wa wananchi hasa pale inapotokea mvutano katika kubadilishana madaraka kutoka chama kimoja kwenda kingine. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/OFpSxcYUTq