Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Mfumo wa uchaguzi huru na haki ni mojawapo ya sifa kuu za demokrasia duniani zinazodhihirisha mamlaka ya wananchi katika kuamua namna wanavyotaka kujitawala na kuongozwa. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/oEsQnSUJ87