Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Maziwa ya mama yana virutubisho vyote muhimu na vitamini ambavyo mtoto anahitaji. Yanaboresha afya, ustawi na maisha ya watoto.
@WHO pamoja na @UNICEF wanapendekeza kwamba akina mama wanapaswa kuanza kunyonyesha ndani ya saa la kwanza la kuzaliwa kwa mtoto.
#ElimikaWikiendi https://t.co/r6pGdI7frh