Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Kulingana na ripoti ya TFNC iliyochapishwa mnamo mwaka 2018, Karibu akina mama wote nchini Tanzania wananyonyesha watoto wao. Walakini, Ni 60% tu ya akina mama ambao hunyonyesha maziwa ya mama pekee kwa miezi 6 ya kwanza.
#WikiYaUnyonyeshaji #ElimikaWikiendi https://t.co/JiDtAPTQT6
#WikiYaUnyonyeshaji #ElimikaWikiendi https://t.co/JiDtAPTQT6