Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Unyonyeshaji ni jambo la asili lakini akina mama wengi huwa na maswali kabla na baada ya kuanza kunyonyesha. Ndio maana @UNICEF inatoa wito kwa Serikali kuweka mazingira ya usawa wa upatikanaji wa ushauri nasaha kuhusu masuala ya unyonyeshaji kwa kila mama. #ElimikaWikiendi https://t.co/YD3LdqHL2v