Analyse @MariaSTsehai's tweets
@MariaSTsehai
| 1,244,658 followers
Asubuhi hii tumsikilize Mzee Butiku: Anawaambia tunampomchagua mtu kuwa Rais anakuwa ndani ya chombo ambayo ni mali ya watanzania
Heshima kuu ya Rais inatokana na OFISI yake siyo kwamba yeye ni mungu-mtu
Asante Baba #TutaelewanaTu https://t.co/L1Y9VfmTNp
Heshima kuu ya Rais inatokana na OFISI yake siyo kwamba yeye ni mungu-mtu
Asante Baba #TutaelewanaTu https://t.co/L1Y9VfmTNp