Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Kunyonyesha sio tu kati ya mama na mtoto. Ni muhimu baba kunyonyesha kwa kuwasaidia akina mama kazi za nyumbani, kuchukua nafasi ya kuweka ukaribu kati yao na mtoto na kusaidia kubadilisha nepi nk. #WikiYaUnyonyeshaji #ElimikaWikiendi https://t.co/tCHVpdGWba