Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
''Sasa hivi changamoto kubwa ambayo tunayo kama nchi ukienda kwenye soko hasa 'Supermarkets' bidhaa nyingi kutoka nje ya nchi, hata 'Apple' unakutana nalo limetoka nje ya nchi lakini yanaweza kuzalishwa hapa nchini - Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga
#NaneNane2020
#SupaBreakfast https://t.co/FPBpL13Eae
#NaneNane2020
#SupaBreakfast https://t.co/FPBpL13Eae