Analyse @LusakoWaKwanza's tweets
@LusakoWaKwanza
| 114,403 followers
Je Wajua .!? Kabla ya Alex Ferguson kuwa kocha wa Manchester United, Aston Villa walikuwa wamefanikiwa zaidi kuliko Man United, Ferguson alichukua timu mwaka 1986 wakati huo Aston Villa walikuwa wameshinda jumla ya mataji 12 huku Man United wakiwa na mataji 7 tu.
#ElimikaWikiendi https://t.co/OB3mraO58K
#ElimikaWikiendi https://t.co/OB3mraO58K