Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Ni vyema ikitokea mazingira (yasiyokiuka sheria) kuwa mgombea ameteuliwa peke yake, asihesabiwe au asitangazwe kuwa ameshinda kwa kupita bila kupingwa bali wananchi wapate fursa na kutumia haki yao kwa kumpigia kura ya NDIYO au HAPANA. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/AqMvPtpXp6