Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Mfumo wa @HakiKiganjani ulianzishwa mahsusi kukabiliana na changamoto za kimiundombinu na utendaji katika kufikia huduma za haki. Mfumo huu unamwezesha mtu asiyeweza kuvifikia vyombo mbalimbali kutoa taarifa kwa njia ya mtandao.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/OfpP4FSBME
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/OfpP4FSBME