Analyse @LusakoWaKwanza's tweets
@LusakoWaKwanza
| 114,403 followers
Je Wajua..!? Pele alipokwenda Nigeria kucheza soka katika mchezo wa hisani mnamo mwaka 1967, pande mbili zilizokuwa zinapigana vita, zilikubaliana kusimamisha vita kwa muda wa masaa 48.!?
#ElimikaWikiendi https://t.co/lLLaID9b9E
#ElimikaWikiendi https://t.co/lLLaID9b9E