Analyse @KumbushoDawson's tweets
@KumbushoDawson
| 187,977 followers
Ibara ya 74(5) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, zinatoa picha halisi ya kwa nini watanzania wengi wana shaka na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza na kusimamia uchaguzi huru na wa haki. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/tl3E22BcNF