Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Timu ya @HakiKiganjani inapopokea taarifa ya ukiukwaji huzichambua na kuchukua hatua ikiwemo kuwasiliana na mamlaka husika na kufuatilia na kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa mhanga wa tukio husika.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/Fi954EuxsY
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/Fi954EuxsY