Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa @HakiKiganjani tayari tumepokea na kufuatilia matukio mengi kutoka maeneo mbalimbali za #Tanzania. Hii inaonesha mwamko wa wananchi katika kutoa taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/8zLcbHb22t
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/8zLcbHb22t