Analyse @CRDBBankPlc's tweets
@CRDBBankPlc
| 64,421 followers
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea banda letu kwenye maonyesho ya 28 ya #NaneNane yanayoendelea katika viwanja vya Nyakibindi wilayani Bariadi- Simiyu.
Benki ya CRDB ni mdhamini mkuu wa maonyesho haya Kitaifa. https://t.co/rvLsXUrTGO
Benki ya CRDB ni mdhamini mkuu wa maonyesho haya Kitaifa. https://t.co/rvLsXUrTGO