Analyse @Kasilo_Honester's tweets
@Kasilo_Honester
| 21,336 followers
Mambo hayo ni
1. Mpangilio wa vyumba.
Mpangilio mzuri wa vyumba katika jengo huruhusu mtiririko mzuri wa shughuli bila kuleta adha yoyote.
Mwanamke huzingatia usiri zaidi, ujirani wa vyumba vya watoto, mkaribisho wa wageni na kukinga shughuli za nyumba
#ElimikaWikiendi https://t.co/OF2n6ugGph