Analyse @PatricOleSosopi's tweets
@PatricOleSosopi
| 102,473 followers
Mgombea Urais wa JMT kupitia @Chadematz Mhe @TunduALissu akiwasili katika Ofisi za Chadema Kanda ya Kati zilizopo Dodoma na kupokelewa na viongozi mbalinbali wa Chama, wanachama, wapenzi na mashabiki, kabla ya kuelekea Ofisi za @TumeYaUchaguzi kuchukua fomu, leo J/mosi 08/08/2020 https://t.co/A5xViqjmcf