Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
PICHA;Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe na Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) mwaka huu. Maonesho hayo yatafikia mwisho Agosti 10 mwaka huu. #NaneNane2020 https://t.co/xxEGHIcU3I