Analyse @ChasoUdsm's tweets
@ChasoUdsm
| 21,309 followers
"Serikali ya Chadema kwa kushirikiana na sekta binafsi inalenga kufanya shughuli za kilimo, uvuvi na ufugaji kuwa za kibiashara kwa kuwezesha Wakulima, Wavuvi na Wafugaji kupata masoko yenye tija ndani na njee ya nchi."-; #ChademaIlani2020 #SasaBasi #PeoplesPower https://t.co/3BNK6zFIUj