Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya @ChademaTz Mhe.@TunduALissu akikabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa @TumeYaUchaguzi Jaji Semistocles Kaijage kwenye Ofisi ya NEC, Dodoma, tayari kwa kazi ya kutafuta wadhamini 200 katika mikoa 10, kuanzia leo. https://t.co/bJny9h00x3