Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya @chadematzofficial Mhe.@TunduALissu akionyesha fomu za uteuzi baada ya kukabidhiwa katika Ofisi za @tumeyauchaguzi_tanzania , jijini Dodoma, tayari kwa kazi ya kutafuta wadhamini 200 katika mikoa 10, kuanzia leo. https://t.co/2ay7TEGOQ2