Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
Mgombea Urais wa JMT kupitia @ChademaTz Mhe @TunduALissu (kulia) akiwa na Mgombea Mwenza @salum_mwalimu (kushoto) baada ya kukabidhiwa fomu ya uteuzi, katika Ofisi za @TumeYaUchaguzi jijini Dodoma, tayari kwa kazi ya kuanza kutafuta wadhamini 200 katika mikoa 10, kuanzia leo. https://t.co/vp8fQSJXfw