Analyse @KumbushoDawson's tweets
@KumbushoDawson
| 187,977 followers
Tunapendekeza na kushauri iundwe Tume "Huru" ya Uchaguzi kwa maana ya Tanzania Independent Electoral Commission (TIEC) ambayo itawekewa utaratibu mpya wa uteuzi kuwapata wajumbe wake. #Tanzania tunataka #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/DJMNVx0Px2