Analyse @MayorUbungo's tweets
@MayorUbungo
| 409,842 followers
Tumeona @azamtvtz Mmefuta Habari zote za Tundu Lissu Leo Wakati akichukua Fomu Za Kugombea Urais Tanzania (Mgombea wa CHADEMA),hasa Katika Kurasa zenu zote .
Lakini Mmeacha Habari za Mgombea Wa CCM Tangu Juzi Akichukua Fomu katika Kurada Zenu zote.
Mnatubagua Kisa CHADEMA? https://t.co/iIRXQnFtBF
Lakini Mmeacha Habari za Mgombea Wa CCM Tangu Juzi Akichukua Fomu katika Kurada Zenu zote.
Mnatubagua Kisa CHADEMA? https://t.co/iIRXQnFtBF