Analyse @azamtvtz's tweets
“Siyo ajabu kutoka Yanga kwenda Simba” - Bernard Morrison awataka mashabiki wa Yanga wasimuone mbaya, aeleza atakavyopambania namba katika kikosi cha Simba, aahidi makubwa akiomba ushirikiano na kusema “Nimekuja hapa kufanya kazi”.
@Bm3Morrison @SimbaSCTanzania @yangasc1935 https://t.co/JMsbhxTTcC
@Bm3Morrison @SimbaSCTanzania @yangasc1935 https://t.co/JMsbhxTTcC