Analyse @fatma_karume's tweets
@fatma_karume
| 1,097,280 followers
October 2020, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya ZNZ atafuta uchaguzi tena? Itapiga HESABU itakavyo? Je JWTZ itamkamata naibu Mwenyekiti wa TUME? Mtapeleka JESHI na MAKOMBORO kama kawaida? Au mtawaachia WANANCHI wa #Zanzibar waamue bila ya kuwafanyia HIDAA? https://t.co/067iDxZ61Q