Analyse @Mwanahalisitz's tweets
@Mwanahalisitz
| 347,099 followers
PICHA: Wananchi wa Moshi Mjini, Kilimanjaro wakiwasikiliza Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema katika mkutano wa kampeni za urais leo Jumatatu. https://t.co/q4mgCz1VQB