Analyse @RealHauleGluck's tweets
@RealHauleGluck
| 304,646 followers
Nimeshitushwa na ripoti kutoka Zanzibar na kwingineko kuhusu vurugu, vifo, na mahabusu. Bado hatujachelewa kuzuia umwagikaji zaidi wa damu! Vikosi vya usalama lazima vifuate sheria, na NEC & ZEC lazima watekeleze majukumu yao kwa uadilifu. Wote tuombee uchaguzi wa amani & haki. https://t.co/Vt3A9HeMbq