Analyse @OlengurumwaO's tweets
@OlengurumwaO
| 31,232 followers
Tuwaombee wenzetu wa Zanzibar watoke katika hali ya sasa waliyonayo. Maisha yao yamekuwa ya hofu na vitisho , Tumwombe Mungu awaokoe na yote yanayowakuta. Mungu ndiye mlinzi na kimbillio la wenye mateso , Binafsi naamini Mungu anatazama kinachoendelea huko #ZanzibarLivesMatter https://t.co/auoNMXVwbV