Analyse @KumbushoDawson's tweets
@KumbushoDawson
| 187,977 followers
Mgombea Ubunge wa Geita Mjini @UpendoPeneza (kulia) alikamatwa na polisi jana Oct 26, 2020, na kuachiliwa leo Oct 27, 2020, huku akisema kuwa madereva wake wawili na walinzi wawili bado wanashikiliwa na jeshi la polisi. #ChangeTanzania https://t.co/nojjvvMpzd