Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Je unajua Haki ya kupata na kupokea habari ni HAKI YA MSINGI? Kunyimwa mawasiliano kupitia internet ni kinyume na haki za binadamu.
Ukitaka kupata njia ya kuendelea kupata mawasiliano bila vikwazo pakua apps hizi ambazo ni salama kwa matumizi binafsi
➡️Lantern
➡️Orbot
➡️Psiphon https://t.co/VSIpgZqXTn
Ukitaka kupata njia ya kuendelea kupata mawasiliano bila vikwazo pakua apps hizi ambazo ni salama kwa matumizi binafsi
➡️Lantern
➡️Orbot
➡️Psiphon https://t.co/VSIpgZqXTn