Analyse @KumbushoDawson's tweets
@KumbushoDawson
| 187,977 followers
Hivi ndivyo hali ilivyo huko NYAMONGO,TARIME mara baada ya Mogaya Ryoba Kisire wa @ccm_tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kijiji kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn na kuwaua wafuasi wawili wa CHADEMA kwa risasi #TanzaniaElections2020 #ChangeTanzania https://t.co/wCcEoVizBP