Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
"Neno la ushauri kwa wapinzani, wakati mwingine kunapokuwa na agenda za kitaifa ni vizuri kushikamana pamoja, Rais @MagufuliJP kwenye janga la Corona aliagiza kumwomba Mungu, huyu Mungu yupo na anajibu, Lakini Mgombea wao hadharani walituita wajinga tukiomba" @hpolepole. https://t.co/ftzYKhp4YV