Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
"Kila mtu alishiriki kwenye Uchaguzi, na kila mgombea alipiga kura na walitoa kauli za kuipongeza Tume kwa kazi kubwa waliyoifanya, na baada ya matokeo kutangazwa ndio wakaanza kupoteana. Niwaombe watanzania kuwa sasa ndio wakati wetu wa kuanza kuwaletea maendeleo" @hpolepole. https://t.co/5CmE0qf67P