Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
#ElimikaWikiendi | Tofauti na Nimonia ya kawaida ambayo hushambulia kijisehemu tu cha pafu,
➡️Nimonia ya COVID19 mara nyingi husambaa na kushambulia pafu zima
PICHA ZA X-RAY
A- Nimonia ya COVID19
B- Nimonia isiyo COVID19
C- Pafu la kawaida https://t.co/mjBarDlZ70
➡️Nimonia ya COVID19 mara nyingi husambaa na kushambulia pafu zima
PICHA ZA X-RAY
A- Nimonia ya COVID19
B- Nimonia isiyo COVID19
C- Pafu la kawaida https://t.co/mjBarDlZ70