Analyse @Apollo_Boniface's tweets
@Apollo_Boniface
| 46,445 followers
Kijana Daudi Lefi Mkazi wa Shinyanga ameshambuliwa na walinzi (SUMA JKT) wa Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga wanaodaiwa kumtaka aondoke wodini, kwamba muda wa kusalimia wagonjwa umeisha, ili hali akisubiri kupatiwa gharama za dawa kwa ajili ya mgonjwa wake. https://t.co/XdKTCUhkKq