Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Kwa kuwa Nimonia ya kipekee ya Tanzania inayoumiza Watu wetu na kuchukua Maisha ya ndugu zetu inaonyesha kusambaa na kutoa dalili kama Korona, ni muhimu kuchukua tahadhari kama zile za Korona. https://t.co/OX6Wx42R4n