Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Lakini kuripoti pekee haitoshi kuwalinda watoto, ni jukumu letu kuhakikisha tunawalinda kwa kuepuka kuweka maudhui yasiyofaa katika mitandaoni na katika vifaa vyetu vya kielektroniki. Epuka kumpiga mtoto picha akiwa mtupu, awe wako ama wa mtu mwingine. #Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/uO9G0ruAj3
#ElimikaWikiendi https://t.co/uO9G0ruAj3