Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Pamoja na kwamba tunapenda kuweka kumbukumbu za wanetu kadri wanavyokua, ni muhimu tujaribu kuweka mipaka ya kumbukumbu tunazohifadhi katika vifaa vya kielektroniki. Huwezi jua nani atachukua na kuona picha hizi – kama ana nia njema na mwanao ama la!
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/bMwE9O4wyk
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/bMwE9O4wyk