Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Kabla ya kumpiga mwanao picha akiwa mtupu jiulize, ‘Je, baada ya miaka 10, ataipenda picha hii ama itamfedhehesha na kumtia aibu? Je, utajisikiaje picha hii ikisambaa kwa bahati mbaya?’ Kumbukumbu nyingine tujitahidi kuzihifadhi katika mioyo yetu.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/8SAVGf3Abp
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/8SAVGf3Abp