Analyse @FestoNgadaya's tweets
@FestoNgadaya
| 33,132 followers
Kukauka uke (Vaginal dryness) ni tatizo linalowakumba wengi na hivyo kupelekea matumizi ya vilainishi (lubricants). Sio kila aina ya mafuta unaweza kutumia sehemu yako ya siri kwani kuna hatari ya kupata allergic reactions, ngozi kuwasha, infection au hata utasa. #BongeLaAfya https://t.co/cVwZQVompi