Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Je, Wajua?
Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu yeyote hatachapisha, kutengeneza, kuonesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuoneshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonesha ukatili au katika pozi za ngono.'
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/ABpDE7tT4v