Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria ya mtoto kwa kusambaza picha za watoto katika taswira zisizo nzuri. Picha za ajali, mtoto akikata mauno, vifo. Hizi zinadhalilisha watoto, familia zao, kuwaathiri kisaikolojia na kudhoofisha maendeleo yao.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/OcI83RZwUw
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/OcI83RZwUw