Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Vipi kuhusu wanaotumia picha za watoto kuonesha dhiki ili kupata fedha toka kwa wafadhili? Sheria pia imeweka angalizo katika hili kuwa kumhusisha mtoto aliye katika mazingira magumu kwa ajili ya kuombaomba au kwa ajili ya faida binafsi ni kosa.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/1Gw7bDqjjg
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/1Gw7bDqjjg