Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
MWISHO: Namna mtoto anavyolelewa leo ina mchango mkubwa tu katika vile atakavyokuwa baadae ukubwani. Hakuna ajali katika malezi. Ukipanda mchicha utavuna huohuo mchicha. Ahsanteni sana. Tunawakaribisha kwa maswali, maoni ama mapendekezo.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/WrUsnxIRh4
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/WrUsnxIRh4