Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imechelewesha ujenzi wa majengo
mbalimbali ya serikali katika mkoa wa Dodoma pekee jumla ya majengo yenye thamani ya Sh.
46.62 bilioni yamecheleweshwa, Hivyo kuathiri malengo ya ujenzi wa majengo hayo . #CAGReportTz #ChangeTanzania https://t.co/tkoY0HNRh7