Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Wakala wa ndege wa serikali TGFA ilitumia kiasi cha Sh.
Bilioni 3.9 kufanya matengenezo ya ndege iliyoundwa mwaka 1978 (miaka
40 iliyopita); hatahivyo, ndege hiyo bado imetelekezwa na
haifanyi kazi licha ya matengenezo yaliyofanyika. #ChangeTanzania #CAGReportTz UFISADI https://t.co/AnMz9yfOX3