Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Kuna Viongozi nilifanya nao kazi katika chuo kikuu cha Dar es salaam , walikuwa wanaheshimika sana kwa fikra zao, lakini baadaye wakapa madaraka yakawabadilisha kifikra, na kuwa fikra zisizo na maadili ( Corruption of Mind) - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/kR0UUQItXb