Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
wakati wa uchaguzi maafisa wa uchaguzi wanaweza kuamua ni nani awe mshindi kwa kuondoa wengine bila kutoa maelezo, lakini pia wananchi wakaka kimya, hii ni kukosa fikra zenye maadili, Kutohoji mabaya pia ni corruption of mind, kukosa maadili - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/qyGSD2nUhc